Wanawake
Leo somo hili linawahusu wanawake unajua wanawake wengi wanafeli kuwanasa wale wanaowapenda kwasababu tunajua mwanamke anambinu chache tu zakutumia ili kumnasa yule ampendae nazo ni
..
1=Kuvaa.nguo fpi.
2=kuketi karbu nae
3=kuketi vibaya
.
Lakini mwanamke leo nataka nikwambirme yakwamba sio kila mwanaume ukadhani anapenda mvaa nguo fpi. Wengine ukivaa hivyo mbele yao moyoni unawatoka kabisaaa
.
Kwakuwa nyie wawake hamkupewa uwezo wakutongoza basi soma njia hizi kwa umakini
.
1.mfuatilie na ugundue avipendavyo.
.
Hii ni hatua mhimu kugundua ni kipi apendacho huyo umpendaye kama anaonekana kupenda wenye heshima basi wewe kuwa na heshima kwake .
2=na uwe na tabasamu kwakwe
.
3=mtembelee kwa heshima
Sio ukifika kwake uanze kuingia hadi chumbani aa sio powa komea sebuleni ongea kwa sauti nzuri y
enye utulivu na uwe na uso watabasamu
enye utulivu na uwe na uso watabasamu
.
4=wapende wazazi wake na uwaheshimu na kuwasaidia pia
Maoni