MABADIRIKO NDOANI

MABADIRIKO NDOANI

Kuishi ni majariwa lakini amani ndani ya ndoa ni mhimu

Unakuta ndoa haina amani mnaishi kama fisi na mbuzi mwanaume kila mda anamuwunda mkewe ili ampige au amtukane tu hata kosa lisiloeleweka wewe unamtusi na kumpiga kama mkeo kakosea muelekeze kwa amani na upole


Kingine unakuta ndani ya ndoa mwanaume sio wakutabasamu ni mnuni hatari haaaaa ebu badirika cheka na familia yako

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Wanawake