Darasani Leo
Kumbuka wakati unalala na mkeo au mmeo usisahau kumkumbatia
Unajua familia nyingi au wanandoa wengi hawakumbatiani yani wanalala kama kaka na dada sasa leo kupitia blogger hii ya kisiwani kipindi cha darasani leo kinakukumbusha kukumbatiana wanandoa
Maoni