Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2022

MABADIRIKO NDOANI

Picha
MABADIRIKO NDOANI Kuishi ni majariwa lakini amani ndani ya ndoa ni mhimu Unakuta ndoa haina amani mnaishi kama fisi na mbuzi mwanaume kila mda anamuwunda mkewe ili ampige au amtukane tu hata kosa lisiloeleweka wewe unamtusi na kumpiga kama mkeo kakosea muelekeze kwa amani na upole Kingine unakuta ndani ya ndoa mwanaume sio wakutabasamu ni mnuni hatari haaaaa ebu badirika cheka na familia yako

Wanawake

Picha
JINSI YA KUMNASA MTEGONI MTU UMPENDAYE Leo somo hili linawahusu wanawake unajua wanawake wengi wanafeli kuwanasa wale wanaowapenda kwasababu tunajua mwanamke anambinu chache tu zakutumia ili kumnasa yule ampendae nazo ni .. 1=Kuvaa.nguo fpi. 2=kuketi karbu nae 3=kuketi vibaya . Lakini mwanamke leo nataka nikwambirme yakwamba sio kila mwanaume ukadhani anapenda mvaa nguo fpi. Wengine ukivaa hivyo mbele yao moyoni unawatoka kabisaaa  . Kwakuwa nyie  wawake hamkupewa  uwezo wakutongoza basi soma njia hizi kwa umakini  .  1.mfuatilie na ugundue avipendavyo. . Hii ni hatua mhimu kugundua ni kipi apendacho huyo umpendaye kama anaonekana kupenda wenye heshima basi wewe kuwa na heshima kwake . 2=na uwe na tabasamu kwakwe . 3=mtembelee kwa heshima Sio ukifika kwake uanze kuingia hadi chumbani aa sio powa komea sebuleni ongea kwa sauti nzuri y enye utulivu na uwe na uso watabasamu  . 4=wapende wazazi wake na uwaheshimu na kuwasaidia pia Hii ni mhimu maana utakapokuwa ukiwapenda wazazi wake utanv...