Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2022

JE WAJUWA?

Picha
Je wajuwa yakwamba mwanamke anajaribu kutafta ujasiri kupitia macho?  Nikweli pale unapotongoza hakikisha unamkazia macho ili mwanamke asipate nguvu

Darasani Leo

Kumbuka wakati unalala na mkeo au mmeo usisahau kumkumbatia  Unajua familia nyingi au wanandoa wengi hawakumbatiani yani wanalala kama kaka na dada sasa leo kupitia blogger hii ya kisiwani kipindi cha darasani leo kinakukumbusha kukumbatiana wanandoa