JINSI YA KUMNASA MTEGONI MTU UMPENDAYE Leo somo hili linawahusu wanawake unajua wanawake wengi wanafeli kuwanasa wale wanaowapenda kwasababu tunajua mwanamke anambinu chache tu zakutumia ili kumnasa yule ampendae nazo ni .. 1=Kuvaa.nguo fpi. 2=kuketi karbu nae 3=kuketi vibaya . Lakini mwanamke leo nataka nikwambirme yakwamba sio kila mwanaume ukadhani anapenda mvaa nguo fpi. Wengine ukivaa hivyo mbele yao moyoni unawatoka kabisaaa . Kwakuwa nyie wawake hamkupewa uwezo wakutongoza basi soma njia hizi kwa umakini . 1.mfuatilie na ugundue avipendavyo. . Hii ni hatua mhimu kugundua ni kipi apendacho huyo umpendaye kama anaonekana kupenda wenye heshima basi wewe kuwa na heshima kwake . 2=na uwe na tabasamu kwakwe . 3=mtembelee kwa heshima Sio ukifika kwake uanze kuingia hadi chumbani aa sio powa komea sebuleni ongea kwa sauti nzuri y enye utulivu na uwe na uso watabasamu . 4=wapende wazazi wake na uwaheshimu na kuwasaidia pia Hii ni mhimu maana utakapokuwa ukiwapenda wazazi wake utanv...